Skip to main content

Posts

DUH: Tazama Jamaa Alichofanyiwa na WAHUNI, Ni siri yake

Recent posts

MANGE KIMAMBI APEWA MWAKA MMOJA, KUJIREKEBISHA

VIDEO: Tazama Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alivyomwambia MANGE KIMAMBI.  

Tapeli ahukumiwa kifungo cha miaka 13,275 jela Thailand

Mahakama moja ya Thailand imemuhukumu tapeli mmoja zaidi ya kifungo cha miaka 13,000 jela. Pudit Kittithradilok ,34, alikiri kumiliki mradi mmoja wa piramidi ambao aliwaahiidi wawekezaji kupata mapato ya hali ya juu. Takriban watu 40,000 walikubali kuwekeza kiwango cha $160m katika kampuni yake. Mahakama ilisema kuwa alijihusisha na vitendo vya kutoa mikopo na makosa 2,653 ya udanganyifu. Baada ya kukiri ,mahakam hiyo ilipunguza hukumu hiyo na kumpatia kifungo cha miaka 6,637 na miezi sita. Huenda asihudumu zaidi ya miaka 20 kwa kuwa sheria ya Thai inatoa miaka 10 kwa makosa mawili aliyopatikana nayo. Waendesha mashtaka waliambia mahakama kwamba Pudit aliandaa semina ambapo waliohudhuria walishawishiwa kuwekeza katika kile alichosema ni biashara zinazohusiana na ujenzi ,urembo, uuzaji wa magari yaliotumika uuzaji wa bidhaa nje ya nchi miongoni mwa vitu nyengine. Kulingana na gazeti la Bangkok Post, wawekezaji waliahidiwa mapato makubwa na marupurupu iwapo wataleta wan...

Tundu Lissu aitaka jamii ya kimataifa kuingilia kati Tanzania

‎ Mnadhimu mkuu wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema Bw Tundu Lissu amesema dalili zinaonesha watu waliomshambulia kwa risasi mjini Dodoma mwaka jana walikuwa na uhusiano na serikali. Bw Lissu, akihutubia wanahabari kwa mara ya kwanza tangu kulazwa hospitalini, ameonekana kuilaumu serikali ya Rais John Magufuli kwa kuwakandamiza wapinzani. Amesema anaamini shambulio dhidi yake lililenga kumnyamazisha kutokana na uokosoaji wake wa mara kwa mara wa serikali. Bw Lissu alikuwa akihutubu kutoka hospitali ya Nairobi jijini Nairobi ambapo amekuwa akipokea matibabu kwa miezi minne sasa. Mbunge huyo wa Singida Mashariki ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuingilia kati akisema hali nchini Tanzania imebadilika sana. Bw Lissu amesema kufikia sasa anaamini hakuna uchunguzi wa maana kuhusu kushambuliwa kwake mnamo 7 Septemba unaendelea. Aidha, amesema Rais John Magufuli, ingawa aliandika ujumbe kwenye Twitter na pia kumtuma makamu wake Samia Suluhu Hassan, hajawahi kuzungu...

ARMAPHOSA AHAIDI KUIMARISHA UCHUMI WA AFRICA KUSINI

Kiongozi mpya wa chama cha ANC cha Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amefunga rasmi mkutano wa chama hicho akiahidi kufanyia kazi sera za kuimarisha uchumi wa nchi hiyo. Akizungumza katika kikao kilichomalizika usiku wa manane, Ramaphosa amesema kupambana na rushwa sambamba na umaskini ni kipaumbele cha kwanza kwa chama chake. Amesema kuwa kikao cha kamati kuu kimeahisi pia kurudisha ardhi muhimu ambazo zilikua mikononi mwa wasiohitajika ikiwa ni lengo la kukuza sekta ya kilimo. Amemsifu mpinzani wake wa kaziribu ayembwaga kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti wa ANC Nkosazana Dlamini Zuma kuwa ni jasiri na mchapa kazi.

Getting Nigeria's railways back on track with China's help

Nigeria has unveiled a major railway expansion project to ease congestion on roads and to boost the economy, writes Ijeoma Ndukwe from the commercial capital, Lagos. A train pulls into Ebute Meta station on mainland Lagos. The station is housed within an old railway compound built during British rule in Africa's most populous state with a population of more than 185 million. Some 57 years after independence, colonial buildings, relics of a bygone era, remain the headquarters of the Nigerian Railway Corporation (NRC). Driving towards the station, I catch glimpses of decades-old tracks overgrown with grass. Discarded carriages, train parts and equipment are scattered around the compound. A 30-minute train ride upstate takes us to a station called Iju, in a suburb of Lagos. We are at a building site alongside the old railway line where workers are laying the foundation for new train tracks by hand. They are constructing 144km (90 miles) of modern tracks connecting t...