Skip to main content

MANGE KIMAMBI APEWA MWAKA MMOJA, KUJIREKEBISHA

VIDEO: Tazama Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alivyomwambia MANGE KIMAMBI.


 

Comments

Popular posts from this blog

TIGO HAND SET CONFIGURATION - KUUNGANISHA INTERNANT KWENYE SIMU

Kuunganisha internet kwenye sim inategemea na simu yenyewe,ni aina gani na mfumo wake ni upi? ->>kina aina nyingi za simu lakini baadhi unaweza kuzigawa katika makundi ma nne (4) 1. SMART PHONE 2. BLACK BERRY 3. IPHONE ( IPOD ) 4. NORMAL               1. ANDROID Simu za android unaweza kuziweka katika makundi mawili kutegemea na SETTING ZAKE -Tofauti ya hizi ni maneno WIRELESS and NETWORK na MORE NETWORK. >>JINSI YA KUSETI ANDROID (Njia ya kwanza ) Bonyeza MENU Nenda kwenye SETTING Kisha ingia WIRELESS AND NETWORK  Kisha ingia MOBILE NETWORK Nenda  ACCESS POINT NAME ( APN ) Nenda ADD NEW    Name andika TIGOWEB APN andika  TIGOWEB Authentication type weka  CHAP SAVE NJI YA PILI Bonyeza MENU Nenda kwenye SETTING Kisha ingia kwenye MORE SETTING Halafu nenda (MOBILE NETWORKS  Nenda ACCESS POINT NAME (APN) Nenda kwenye ADD   Name andika ( TIGOWEB ) APN ...

TIGO SHOP / NAMBA YA MAAJABU / NAMBA YA VIFURUSHI

ULIPO TUPO TIGO SHOP / NAMBA YA MAAJABU / NAMBA YA KUJIUNGA VIFURUSHI   TIGO SHOP / NAMBA YA MAAJABU / NAMBA YA KUJIUNGA  >>Tigo shop Menu *148*00#    -Ni namba ambayo inakupa mteja vifurushi mbalimbali vya kutuma SMS ,INTERNET, Pamoja na sms. ->itakupa vifurushi vifuatavyo ->>OFA Maalum (kifureshi namba moja) -Internet BURE     ,Kifurushi hiki kitakupa bure MB 100 Bilakikomo cha spidi kutumia kati ya saa 12 ASUBUHI mpaka   saa   2 ASUBUHI: BILA KULIPIA -MIA MIA Bilakikomo     Ndugu mteja utaongea bila kikomo TIGO -TIGO Na utalipia sh 100 kwa kila simu uipigayo,KUJIUNGA NI BURE -USIKU Bilakikomo (GB 30 ) =Sh 1,000   kifurushi hiki kinakupa GB 30 Bila kikomo cha spidi,mteja Utatumia kati ya saa 5 usiku Hadi sdaa 11 Asubuhi Na kitadumu kwa muda wa siku 2 MFULULIZO Kwa shilingi 1,000 tu.  - 999 sh = 900 min + 500 SMS      Ki...

Tigo Pesa

Tigo pesa Tigo pesa menu *150*01# >>Tigo pesa ni huduma inayo kuwezesha mteja Kutuma Pesa, Kuutoa Pesa, Kununua Muda Wa Maongezi        N:K.  -Tigo pesa ni huduma inayowezeshwa bure kwa kila mteja mpya wa tigo  -Ndugu mteja akaunti yako ya tigo pesa itahitaji tarakimu nne za namba ili kuwekewa namba ya siri katikaa    tigo pesa akaunti yako ya siri  -Ndugu mteja namba yako ya siri ya tigo pesa huta takiwa kuisahau kwasababu hautaweza kufanya                 muamala wowote wa tigo pesa.  -Ndugu mteja namba yako ya siri hita takiwa kufanana, (3333) au kufuatana katika mfumo wa namba,            mfano (1234) au (4321), pia namba yako ya siri haitatakiwa kufananana na mwaka wako wa kuzaliwa  -Ndugu mteja yakupasa kuijua namba yako ya siri na haitakuwa vzuri kumwambia mtu mwengine. >>TIGO PESA MENU      Tuma pesa Nunua mu...