![]() |
ULIPO TUPO |
>>Tigo shop Menu *148*00#
-Ni namba ambayo inakupa mteja vifurushi mbalimbali vya kutuma SMS ,INTERNET, Pamoja na sms.
->itakupa vifurushi vifuatavyo
->>OFA Maalum (kifureshi namba moja)
-Internet BURE
,Kifurushi hiki kitakupa bure MB 100 Bilakikomo cha spidi kutumia kati ya saa 12 ASUBUHI mpaka saa 2 ASUBUHI: BILA KULIPIA
-MIA MIA Bilakikomo
Ndugu mteja utaongea bila kikomo TIGO -TIGO Na utalipia sh 100 kwa kila simu uipigayo,KUJIUNGA NI BURE
-USIKU Bilakikomo (GB 30 ) =Sh 1,000
kifurushi hiki kinakupa GB 30 Bila kikomo cha spidi,mteja Utatumia kati ya saa 5 usiku Hadi sdaa 11 Asubuhi Na kitadumu kwa muda wa siku 2 MFULULIZO Kwa shilingi 1,000 tu.
- 999 sh = 900 min + 500 SMS
Kifurushi hiki kitakupa Dakika 20 Mitandao yote TZ, SMS 500 Na MB 50 Za Internet MPAKA UTAKAPOMALIZA, Kwa sh 1000 tu.
- TIGO Beatz
Tigo Beatz inakupa Muzik uipendayo mbalimbali kama vile
- Hot Tracks
- GOSPEL
- BONGO
- ISLAMIC
-Kifurushi Cha LISAA
Comments
Post a Comment