Skip to main content

Tigo Pesa

Tigo pesa

Tigo pesa menu *150*01#
>>Tigo pesa ni huduma inayo kuwezesha mteja Kutuma Pesa, Kuutoa Pesa, Kununua Muda Wa Maongezi        N:K.
 -Tigo pesa ni huduma inayowezeshwa bure kwa kila mteja mpya wa tigo
 -Ndugu mteja akaunti yako ya tigo pesa itahitaji tarakimu nne za namba ili kuwekewa namba ya siri katikaa    tigo pesa akaunti yako ya siri
 -Ndugu mteja namba yako ya siri ya tigo pesa huta takiwa kuisahau kwasababu hautaweza kufanya                 muamala wowote wa tigo pesa.
 -Ndugu mteja namba yako ya siri hita takiwa kufanana, (3333) au kufuatana katika mfumo wa namba,            mfano (1234) au (4321), pia namba yako ya siri haitatakiwa kufananana na mwaka wako wa kuzaliwa
 -Ndugu mteja yakupasa kuijua namba yako ya siri na haitakuwa vzuri kumwambia mtu mwengine.

>>TIGO PESA MENU
  1.      Tuma pesa
  2. Nunua muda wa maongezi na vifurushi
  3. Toa pesa
  4. Lipia bili
  5. Akaunti yangu na salio Nunua kabang 999
 ->>Tuma pesa
-Mteja utaweza kumtumia mteja yeyote mwengine wa tigo wakati wowote masaa 24 kupitia simuyako
-Mteja lazima uhakikishe jina la mteja unaemtumia kabla ya kuhakikisha ili kulinda pesa yako
-Ndugu m,teja ukikosea kutuma pesa piga simu haraka huduma kwa wateja namba 100 ili kusidiwa kwa haraka iwezekanavyo.
-Kumbuka kiasi cha kwanza kueka pesa katika akaunti yako ya tigo pesa ni Tsh 1000

->>Nuua muda wa maongezi na Vifurushi


-Ndugu mteja unaweza kunua muda wa maongezi kutoka katika Akaunti yako ya tigopesa masaa 24 ukiwa nasalio katika akaunti yako ya tigo pesa.
-mteja pia unaweza kununua vifurushi moja kwa moja muda wowote
->>Toa pesa
-Mteja unaweza kutoa pesa wakati n wowote ukiwa na tigo pesa akati,wakala wetu atakupa namba yake na ukaweza kutoa masaa 24, na kutokana na viwango vya makato utakatwa kiasi kidodo
->>Lipia Bili
-Ndugu mteja unaweza kulipia bili zako kupitia simu yako wakarti wowote kjwa masaa 24,kulipia kama vile LUKU nk:
->>Akauti yangu na salio
-Mteja utaweza kuuliza salio la akaunti yako kupitia simu yako wakati wowote masaa 24 na utakatwa Tsh 50 kwqa kila utakapo uliza
-pia utaweza kubadilisha namba ya siri wakati wowote,na unashauriwa kufanya hivi mara kwa mara ili kulinda pesa zako
->>Nunua kabang 999
-nunua kabang 999
-Huduma hii inakupa Dakika 20 za  kupiga mitandao yote,sms 1000 na MB 8 Za masaa 24 kwa Tsh 999 tu
  v


Comments

Popular posts from this blog

TIGO HAND SET CONFIGURATION - KUUNGANISHA INTERNANT KWENYE SIMU

Kuunganisha internet kwenye sim inategemea na simu yenyewe,ni aina gani na mfumo wake ni upi? ->>kina aina nyingi za simu lakini baadhi unaweza kuzigawa katika makundi ma nne (4) 1. SMART PHONE 2. BLACK BERRY 3. IPHONE ( IPOD ) 4. NORMAL               1. ANDROID Simu za android unaweza kuziweka katika makundi mawili kutegemea na SETTING ZAKE -Tofauti ya hizi ni maneno WIRELESS and NETWORK na MORE NETWORK. >>JINSI YA KUSETI ANDROID (Njia ya kwanza ) Bonyeza MENU Nenda kwenye SETTING Kisha ingia WIRELESS AND NETWORK  Kisha ingia MOBILE NETWORK Nenda  ACCESS POINT NAME ( APN ) Nenda ADD NEW    Name andika TIGOWEB APN andika  TIGOWEB Authentication type weka  CHAP SAVE NJI YA PILI Bonyeza MENU Nenda kwenye SETTING Kisha ingia kwenye MORE SETTING Halafu nenda (MOBILE NETWORKS  Nenda ACCESS POINT NAME (APN) Nenda kwenye ADD   Name andika ( TIGOWEB ) APN ...

TIGO GAWIO

 TIGO NI KAMPUNI YA KWANZA DUNIANI KUGAWA FAIDA KWA WATEJA WAKE. Gawio ni huduma ya tigo inayompatia mteja wetu faida ya matumizi yake ya tigo pesa kwa kila miezi mi tatu.      Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo kuhusu kutoa gawio la kiasi cha shilingi bilioni 14.25 lililolimbikizwa kwenye akaunti ya mfuko wa fedha wa Tigo Pesa kwa ajili ya wateja wao. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na Meneja Masoko na Usambazaji wa Tigo Pesa Catherine Rutenge (kulia).     Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu gawio la shilingi bilioni 14.25 litakalo anza kutolewa kwa wateja wa kampuni hiyo. Gawio hili litawanufaisha jumla ya watumiaji milioni 3.5 wa Tigo Pesa nchini. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez. Tigo Tanzania leo imetangaza itatoa gawio la kiasi cha s...

TIGO SHOP / NAMBA YA MAAJABU / NAMBA YA VIFURUSHI

ULIPO TUPO TIGO SHOP / NAMBA YA MAAJABU / NAMBA YA KUJIUNGA VIFURUSHI   TIGO SHOP / NAMBA YA MAAJABU / NAMBA YA KUJIUNGA  >>Tigo shop Menu *148*00#    -Ni namba ambayo inakupa mteja vifurushi mbalimbali vya kutuma SMS ,INTERNET, Pamoja na sms. ->itakupa vifurushi vifuatavyo ->>OFA Maalum (kifureshi namba moja) -Internet BURE     ,Kifurushi hiki kitakupa bure MB 100 Bilakikomo cha spidi kutumia kati ya saa 12 ASUBUHI mpaka   saa   2 ASUBUHI: BILA KULIPIA -MIA MIA Bilakikomo     Ndugu mteja utaongea bila kikomo TIGO -TIGO Na utalipia sh 100 kwa kila simu uipigayo,KUJIUNGA NI BURE -USIKU Bilakikomo (GB 30 ) =Sh 1,000   kifurushi hiki kinakupa GB 30 Bila kikomo cha spidi,mteja Utatumia kati ya saa 5 usiku Hadi sdaa 11 Asubuhi Na kitadumu kwa muda wa siku 2 MFULULIZO Kwa shilingi 1,000 tu.  - 999 sh = 900 min + 500 SMS      Ki...