->>kina aina nyingi za simu lakini baadhi unaweza kuzigawa katika makundi ma nne (4)
1. SMART PHONE
2. BLACK BERRY
3. IPHONE ( IPOD )
4. NORMAL
1. ANDROID
Simu za android unaweza kuziweka katika makundi mawili kutegemea na SETTING ZAKE
- -Tofauti ya hizi ni maneno WIRELESS and NETWORK na MORE NETWORK.
- Bonyeza MENU
- Nenda kwenye SETTING
- Kisha ingia WIRELESS AND NETWORK
- Kisha ingia MOBILE NETWORK
- Nenda ACCESS POINT NAME ( APN )
- Nenda ADD NEW
- Name andika TIGOWEB
- APN andika TIGOWEB
- Authentication type weka CHAP
- SAVE
NJI YA PILI
- Bonyeza MENU
- Nenda kwenye SETTING
- Kisha ingia kwenye MORE SETTING
- Halafu nenda (MOBILE NETWORKS
- Nenda ACCESS POINT NAME (APN)
- Nenda kwenye ADD
- Name andika ( TIGOWEB )
- APN Andika ( tigoweb )
- Authentication type andika ( chap )
- Save
2. I PHONE
JINSI YA KUUNGANISHA IPHONE
- Bonyeza MENU
- Nenda kwenye SETTING
- Ingia GENERAL
- Nenda NETWORK
- Nend ENABLE 3G Weka ON
- Nenda CELLULAR DATA weka ON
- Nenda DATA ROAMING weka ON
3. NORMAL
->> katika kundi hili kuna aina tofauti za simu ambazo unaweza kuziweka kwenye kundi hili.mfano:-
NOKIA,Baadhi ya TECNO Na Baadhi ya SAMSUNG
1. NOKIA 6210 / 6230 / 6270
- Bonyeza MWNU
- Ingia SETTING
- Nenda CONFIGURATION
- Nenda PERSONAL CONFIGURATION
- Nenda OPTOIN na nenda ADD NEW
- Chagua ACCESS POINT
- Account name weka TIGOWEB
- Data bearer chagua PACKET DATA
8. Use preferred Acces point: NO
9. Data bearer: PACKET DATA
- Chagua BEARER SETTING
- Packet data access point: G[PRS
- Authentication type: NORMAL
2. TECNO T340, T341' T342
- Bonyeza MENU
- Nenda kwenye SETTING
- Nenda Kwenye CONNECTIVITY
- Ingiza sim data connection chagua SIM 1 au SIM 2
- Ingiza data accounts chagua SIM 1 au SIM 2,Kutegemea na laini yako ya tigo ulipo iweka
- APN AUTHENTICALLY imeshatiwa kwa wewe kazi yako ni kusevu.
Comments
Post a Comment