Skip to main content

MODEMU

->>MODEM Ni kifaa kinachoweza kukupa Internet kwenye comyuta au laptop yako.
   Modemu inaunganisha kompyuta yako kwenda kwenye internet kupitia watoa HUDUMA ya Internet.
 
KUUNGANISHA MODEMU YA TIGO KWENYE KOMPYUTA

->> Ingiza modemu  kwenye kompyuta yako sehemu ya USB.Halafu Fuata Maelekezo.

   KUUZA MODEMU ( KWA WAFANYAKAZI WA TIGO TU )
->>Ili uweze kuuza modemu kuna mabo amboyo inatakiwa kuyajua mambo hayo ni:-

  •            Kujua bei ya modemu
                     -Modemu kwasasa ni Tsh 25000 3G Na 30000 ya  4G
  •        Spidi ya modemu (mwendo kasi)...Speed ya modem ya Tigo ni 14.4 MBPS lakini kunabaadhi ya ambayo ni 7.1 MBPS
             NB: MBPS Ni mega bite / per second.ambayo MB 1 = KB 1000 Na MB 1024 =GB1.
  •        Kujua maeneo yanayopatikana 3G... Kama kuna maeneo Anbayo Hakuna 3G modem haitafanya kazi ipasavyo.
         -Hapo itakubidi utumie 2G au isifanye kabisa kazi kwasababu network hakuna.
         - hivyo Mteja hatoweza kutumia modemu yaake
         

Comments