TIGO INTERNENT
->> INTERNET NI NINI ?
Internet ni mkusanyiko wa mitandao mbalimbali ambayo hufanya Dunia kama kijiji. AU
Internet ni mawasiliano ya haraka zaidi ambayo hufanya dunia kuwa kijiji kwa gharama ile ile.
kwa kutumia INTERNET unaweza kupata habari mbali mbali kupitia mitandao hiyo mfano wa mitandao ni
A)FACEBOOK B)WHATSAPP C) VIBER D)TANGO D)BBM. Na mengine mingi
->> INTERNET SPEED ( MWENDO KASI )
INTERNET Speed ni mwendokasi ambao hutumika katika simu,modem,router ili kuweza kupata habari na matukio mbalimbali,hutegemea pia na mahala zenyewe yaanui NETWORK.
->>NETWORK SPEED
Speed huweza kugawa katika hatua zisuatazo:-
TOFAUTI KATI YA 2G NA 3G

- GSM au GPRS
- 2G au WDGE
- 3G au WCDMA
- 3.SG au HSDPA
- 4G Kwa maeneo machache
TOFAUTI KATI YA 2G NA 3G
- Kwa kawaida 3G ni kasi Kuliko 2G kufuatana na kupakia
- Ukiwa na 2G unaweza kuhakiki Barua Pepe na kupakua MUZIKI kwa kasi kidogo lakini mkiwa na 3G unaweza kigfanya vitu vingi kwa kasi zaidi kama picha za video au soga za video ( kustream ).
- Ukiwa na 3G unaweza kupata 2G lakini ukiwa na 2G Huwezi kupata 3G.
NICE TIGO
ReplyDelete