YEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEAAAAA.... Ni TIGO Sasa Inakupa Sh 300 BUREEEE Asubuhi, Zakupiga Simu, Kuperuzi na Internant, Na Kutuma SMS...Ni Asubuhi Kwanzia Saa 12:00 Hadi Saa 3:00 Asubuhi BUUUUURE Kabisaaaaaa UNASUBIRI NINI.... PIGA *148*00# OK, Kisha chagua OFA MAALUM, Kisha Chagua Sh 300 BURE ASUBUHI.... SMIL YOUR WIYH TIGO
TIGO NI KAMPUNI YA KWANZA DUNIANI KUGAWA FAIDA KWA WATEJA WAKE. Gawio ni huduma ya tigo inayompatia mteja wetu faida ya matumizi yake ya tigo pesa kwa kila miezi mi tatu. Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo kuhusu kutoa gawio la kiasi cha shilingi bilioni 14.25 lililolimbikizwa kwenye akaunti ya mfuko wa fedha wa Tigo Pesa kwa ajili ya wateja wao. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na Meneja Masoko na Usambazaji wa Tigo Pesa Catherine Rutenge (kulia). Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu gawio la shilingi bilioni 14.25 litakalo anza kutolewa kwa wateja wa kampuni hiyo. Gawio hili litawanufaisha jumla ya watumiaji milioni 3.5 wa Tigo Pesa nchini. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez. Tigo Tanzania leo imetangaza itatoa gawio la kiasi cha s...