Skip to main content

SH 300 BUREEE

       
YEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEAAAAA....
            Ni TIGO Sasa  Inakupa Sh 300 BUREEEE Asubuhi, Zakupiga Simu, Kuperuzi na Internant, Na Kutuma SMS...Ni Asubuhi Kwanzia Saa 12:00 Hadi Saa 3:00 Asubuhi  BUUUUURE Kabisaaaaaa
  UNASUBIRI NINI....
                           PIGA *148*00# OK, Kisha chagua OFA MAALUM, Kisha Chagua Sh 300 BURE ASUBUHI.... SMIL YOUR WIYH TIGO

Comments

Popular posts from this blog

TIGO HAND SET CONFIGURATION - KUUNGANISHA INTERNANT KWENYE SIMU

Kuunganisha internet kwenye sim inategemea na simu yenyewe,ni aina gani na mfumo wake ni upi? ->>kina aina nyingi za simu lakini baadhi unaweza kuzigawa katika makundi ma nne (4) 1. SMART PHONE 2. BLACK BERRY 3. IPHONE ( IPOD ) 4. NORMAL               1. ANDROID Simu za android unaweza kuziweka katika makundi mawili kutegemea na SETTING ZAKE -Tofauti ya hizi ni maneno WIRELESS and NETWORK na MORE NETWORK. >>JINSI YA KUSETI ANDROID (Njia ya kwanza ) Bonyeza MENU Nenda kwenye SETTING Kisha ingia WIRELESS AND NETWORK  Kisha ingia MOBILE NETWORK Nenda  ACCESS POINT NAME ( APN ) Nenda ADD NEW    Name andika TIGOWEB APN andika  TIGOWEB Authentication type weka  CHAP SAVE NJI YA PILI Bonyeza MENU Nenda kwenye SETTING Kisha ingia kwenye MORE SETTING Halafu nenda (MOBILE NETWORKS  Nenda ACCESS POINT NAME (APN) Nenda kwenye ADD   Name andika ( TIGOWEB ) APN ...

TIGO GAWIO

 TIGO NI KAMPUNI YA KWANZA DUNIANI KUGAWA FAIDA KWA WATEJA WAKE. Gawio ni huduma ya tigo inayompatia mteja wetu faida ya matumizi yake ya tigo pesa kwa kila miezi mi tatu.      Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo kuhusu kutoa gawio la kiasi cha shilingi bilioni 14.25 lililolimbikizwa kwenye akaunti ya mfuko wa fedha wa Tigo Pesa kwa ajili ya wateja wao. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na Meneja Masoko na Usambazaji wa Tigo Pesa Catherine Rutenge (kulia).     Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu gawio la shilingi bilioni 14.25 litakalo anza kutolewa kwa wateja wa kampuni hiyo. Gawio hili litawanufaisha jumla ya watumiaji milioni 3.5 wa Tigo Pesa nchini. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez. Tigo Tanzania leo imetangaza itatoa gawio la kiasi cha s...

MODEMU

->>MODEM Ni kifaa kinachoweza kukupa Internet kwenye comyuta au laptop yako.    Modemu inaunganisha kompyuta yako kwenda kwenye internet kupitia watoa HUDUMA ya Internet.   KUUNGANISHA MODEMU YA TIGO KWENYE KOMPYUTA ->> Ingiza modemu  kwenye kompyuta yako sehemu ya USB.Halafu Fuata Maelekezo.    KUUZA MODEMU ( KWA WAFANYAKAZI WA TIGO TU ) ->>Ili uweze kuuza modemu kuna mabo amboyo inatakiwa kuyajua mambo hayo ni:-            Kujua bei ya modemu                      -Modemu kwasasa ni Tsh 25000 3G Na 30000 ya  4G        Spidi ya modemu (mwendo kasi)...Speed ya modem ya Tigo ni 14.4 MBPS lakini kunabaadhi ya ambayo ni 7.1 MBPS              NB: MBPS Ni mega bite / per second.ambayo MB 1 = KB 1000 Na MB 1024 =GB1.     ...