Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2015

TIGO GAWIO

 TIGO NI KAMPUNI YA KWANZA DUNIANI KUGAWA FAIDA KWA WATEJA WAKE. Gawio ni huduma ya tigo inayompatia mteja wetu faida ya matumizi yake ya tigo pesa kwa kila miezi mi tatu.      Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo kuhusu kutoa gawio la kiasi cha shilingi bilioni 14.25 lililolimbikizwa kwenye akaunti ya mfuko wa fedha wa Tigo Pesa kwa ajili ya wateja wao. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na Meneja Masoko na Usambazaji wa Tigo Pesa Catherine Rutenge (kulia).     Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu gawio la shilingi bilioni 14.25 litakalo anza kutolewa kwa wateja wa kampuni hiyo. Gawio hili litawanufaisha jumla ya watumiaji milioni 3.5 wa Tigo Pesa nchini. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez. Tigo Tanzania leo imetangaza itatoa gawio la kiasi cha s...

TIGO MUSIC

TIGO MUSIC NI NINI ?    ->> Ni Huduma inayowezesha mteja wetu kuskiliza muziki zaidi ya Milioni 36 kupitia simu yake wakati wowote na mahali popote akiwa na TIGO MUSIC. FAIDA ZA TIGO MISIC KWA MTEJA Ukiwa na tigo music utasikiliza music BURE bila kifurushi chako na hata kama huna salio Baada ya WIKI 2 Kuisha utaweza kununua kifurushi cha Tigo music ili kuendelea kufurahia MUZIKI BILA KIKOMO. Unaweza kuhifadhi nyimbo na kuziskiliza baadae ukiwa nje ya mtandao wa internet ( offline ) Unaweza kuskiliza nyimbo za wasanii wa ndani na nje ya nchi.  JINSI YA KUPATA TIGO MUSIC KWENYE SIMU YAKO     ->>Ili kupata tigo music, Piga *148*00# Chagua Music ( NEW ) kisha chagua aina ya kifurushi unachotaka kisha bonmyeza 1 kukubali na fungua link unayopokea pindi utakapojiunga na kifurushi na fuata maelezo (launch Deezer )                                     ...

TIGO HAND SET CONFIGURATION - KUUNGANISHA INTERNANT KWENYE SIMU

Kuunganisha internet kwenye sim inategemea na simu yenyewe,ni aina gani na mfumo wake ni upi? ->>kina aina nyingi za simu lakini baadhi unaweza kuzigawa katika makundi ma nne (4) 1. SMART PHONE 2. BLACK BERRY 3. IPHONE ( IPOD ) 4. NORMAL               1. ANDROID Simu za android unaweza kuziweka katika makundi mawili kutegemea na SETTING ZAKE -Tofauti ya hizi ni maneno WIRELESS and NETWORK na MORE NETWORK. >>JINSI YA KUSETI ANDROID (Njia ya kwanza ) Bonyeza MENU Nenda kwenye SETTING Kisha ingia WIRELESS AND NETWORK  Kisha ingia MOBILE NETWORK Nenda  ACCESS POINT NAME ( APN ) Nenda ADD NEW    Name andika TIGOWEB APN andika  TIGOWEB Authentication type weka  CHAP SAVE NJI YA PILI Bonyeza MENU Nenda kwenye SETTING Kisha ingia kwenye MORE SETTING Halafu nenda (MOBILE NETWORKS  Nenda ACCESS POINT NAME (APN) Nenda kwenye ADD   Name andika ( TIGOWEB ) APN ...

MODEMU

->>MODEM Ni kifaa kinachoweza kukupa Internet kwenye comyuta au laptop yako.    Modemu inaunganisha kompyuta yako kwenda kwenye internet kupitia watoa HUDUMA ya Internet.   KUUNGANISHA MODEMU YA TIGO KWENYE KOMPYUTA ->> Ingiza modemu  kwenye kompyuta yako sehemu ya USB.Halafu Fuata Maelekezo.    KUUZA MODEMU ( KWA WAFANYAKAZI WA TIGO TU ) ->>Ili uweze kuuza modemu kuna mabo amboyo inatakiwa kuyajua mambo hayo ni:-            Kujua bei ya modemu                      -Modemu kwasasa ni Tsh 25000 3G Na 30000 ya  4G        Spidi ya modemu (mwendo kasi)...Speed ya modem ya Tigo ni 14.4 MBPS lakini kunabaadhi ya ambayo ni 7.1 MBPS              NB: MBPS Ni mega bite / per second.ambayo MB 1 = KB 1000 Na MB 1024 =GB1.     ...

TIGO INTERNET

                                                          TIGO INTERNENT                                                ->>   INTERNET NI NINI ?               Internet ni  mkusanyiko wa mitandao mbalimbali ambayo hufanya Dunia kama kijiji.                                                             ...
HUAWEI JISMARTPHONISHE LEO NA UPATE MUDA WA MAONGEZI BURE WA DAKIKA 1000 , SMS 100 , NA MB ZA INTERNET 100 KWA KILA MWEZI . AINA ZA SMARTPHONE HUAWEI Y530 , Tembelea Duka la Tigo Lililoko karibu Nawe                             Ujipatie Kwa Tsh 195,000 HUAWEI Y330 , Jipatie Kwa Tsh 120,000 Enjoy a brighter life‎.‎ Everyday‎.‎With a variety of colorful back designs‎,‎ your phone will always stand out from the crowd‎.‎ Add more flavor to your life with cool blue‎,‎ coral red‎,‎ lemon yellow‎,‎ jet black‎,‎ or vanilla white‎.‎ Picture perfect design‎.‎ Picture perfect photos‎.‎The Ascend Y330 features a 3 megapixel camera on its back that supports panorama shots‎.‎ The smile capture feature also automatically takes photos for you every time it sees a smile‎.‎ So smile away‎.‎ SPECIFICATIONS 2G Network: GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network: HSDPA 900 / 2100 - Y330-U01/U11 HSDPA 850 / 1900 - ...

Tigo Modem

           J ipatie MODEM Za Tigo 3G Zenye S pid zaidi   AINA ZA MODE M     3G MODEM    Inapatikana kwa Tsh 2,5000 4G MODEM   Inapatikana kwa 3 , 000 0                       Fika katika ofisi zetu zilizopo malindi kwa ZANZIBAR  

TIGO SHOP / NAMBA YA MAAJABU / NAMBA YA VIFURUSHI

ULIPO TUPO TIGO SHOP / NAMBA YA MAAJABU / NAMBA YA KUJIUNGA VIFURUSHI   TIGO SHOP / NAMBA YA MAAJABU / NAMBA YA KUJIUNGA  >>Tigo shop Menu *148*00#    -Ni namba ambayo inakupa mteja vifurushi mbalimbali vya kutuma SMS ,INTERNET, Pamoja na sms. ->itakupa vifurushi vifuatavyo ->>OFA Maalum (kifureshi namba moja) -Internet BURE     ,Kifurushi hiki kitakupa bure MB 100 Bilakikomo cha spidi kutumia kati ya saa 12 ASUBUHI mpaka   saa   2 ASUBUHI: BILA KULIPIA -MIA MIA Bilakikomo     Ndugu mteja utaongea bila kikomo TIGO -TIGO Na utalipia sh 100 kwa kila simu uipigayo,KUJIUNGA NI BURE -USIKU Bilakikomo (GB 30 ) =Sh 1,000   kifurushi hiki kinakupa GB 30 Bila kikomo cha spidi,mteja Utatumia kati ya saa 5 usiku Hadi sdaa 11 Asubuhi Na kitadumu kwa muda wa siku 2 MFULULIZO Kwa shilingi 1,000 tu.  - 999 sh = 900 min + 500 SMS      Ki...
              >> Smile Your With TIGO

Tigo Pesa

Tigo pesa Tigo pesa menu *150*01# >>Tigo pesa ni huduma inayo kuwezesha mteja Kutuma Pesa, Kuutoa Pesa, Kununua Muda Wa Maongezi        N:K.  -Tigo pesa ni huduma inayowezeshwa bure kwa kila mteja mpya wa tigo  -Ndugu mteja akaunti yako ya tigo pesa itahitaji tarakimu nne za namba ili kuwekewa namba ya siri katikaa    tigo pesa akaunti yako ya siri  -Ndugu mteja namba yako ya siri ya tigo pesa huta takiwa kuisahau kwasababu hautaweza kufanya                 muamala wowote wa tigo pesa.  -Ndugu mteja namba yako ya siri hita takiwa kufanana, (3333) au kufuatana katika mfumo wa namba,            mfano (1234) au (4321), pia namba yako ya siri haitatakiwa kufananana na mwaka wako wa kuzaliwa  -Ndugu mteja yakupasa kuijua namba yako ya siri na haitakuwa vzuri kumwambia mtu mwengine. >>TIGO PESA MENU      Tuma pesa Nunua mu...
                                                      TIGO SMARTPHONE   >> Nunua Z martphone Z a T igo Na U pate M uda W a -         >>Zinapatikana Customercare  Zote nchini               Maongezi Bure.          >> TIGO THE MOST AFFORDABLE IN TANZANIA